Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

VIDEO:..SHILOLE ANENA MAZITO KWA BASATA BAADA YA KUPEWA KIFUNGO CHA MWAKA BILA HURUMA

.
.
Ni headlines zilizochukua nafasi kubwa kwenye mitandao kuhusu baraza la sanaa Tanzania BASATA kumfungia Shilole kutojihusisha na kazi yoyote ya sanaa.
Sasa Ayo TV na millardayo.com ilimtafuta na kuzungumza naye kuhusu taarifa hizo, unaweza uka bonyeza play kufahamu kile alichokiongea

1 comments:

WANAWEZA KUWA NA NIA NZURI TU LAKINI UKWELI UTABAKI PALEPALE JE NI WASANII WANGAPI WALIOTOA NYIMBO NA KUFANYA SHOWS CHAFU ZISIZO NA MAADILI LAKINI MPAKA LEO WAPO KAZINI?

Reply

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top