Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

BREAKING NEWS: MGOGORO WA DR SLAA NA CHAMA SASA UMETATULIWA RASMI


Taarifa za awali zilizotifikia chumba chetu cha habari zinaarifu ya kuwa wazee wa CHADEMA wamekutana na kuzungumzo katibu wa chama Dr Wilbroad Slaa nyumbani kwake kuhusu sintofahamu iliyojitokeza ambapo huenda Dr Slaa atarejea kazini muda si mrefu kuendelea na majukumu yake ya kichama.
Picha na taarifa zaidi zitafuata kadri tutakavyozipata, endelea kufuatilia hapa hapa www.toleojipya.com.
Hapo juu ni picha ya Dr Slaa na wazee wa chama hicho!

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top