Loading...
Home »
Unlabelled »
DIAMOND PLATNUM AJISIFIA MBELE YA RAIS wa MUUNGANO WA TANZANIA JAKAYA KIKWETE.
Msanii Diamond Platnum ajifia mbele ya mh rais kuwa mtoto wake ana siku moja duniani lakini ana follow elfu hamsini.Lakini pia katika miaka kumi ya utawala wa rais ameweza kupata mtoto leo.Upekee wa mtoto huyo amepata mkataba wa kuvalishwa na duka la nguo wa milioni hamsini.
07 August 2015
Post a Comment