Mimi nasema milango iko wazi watajichuja watabaki sahihi ambao ni sisi, na mtu kama mimi sina mawazo kwasababu nimeshindwa kura za maoni niseme kwamba nihamie chama Fulani sina mawazo hayo na sitarajii kuhama mimi nimezaliwa ndani ya chama cha Mapinduzi na nitakufa ndani ya chama cha Mapinduzi na ni chama changu nakipenda kwa dhati na pia nawambia wenzangu wakishindwa huko watarudi tu kwenye chama hiki cha Mapinduzi’ -Steve Nyerere
Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977
Home » Unlabelled » KILA ANAYEKOSA UBUNGE CCM LAZIMA AHAME NA KWENDA CHADEMA LAKINI "STEVE NYERERE" AFANYA MAAMUZI MAGUMU



Post a Comment