Mbunge wa Monduli na waziri mkuu wa zamani amechaguliwa kuwania urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kwa mujibu wa taarifa kutoka mkutano wa chama hiko kinachofanyika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Edward Lowassa ambaye alijiunga na Chadema (Ukawa) mapema wiki iliyopita akitokea Chama cha Mapinduzi (CCM) amechaguliwa kuwania kiti hiko katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25, 2015.
Lowassa ataambatana na mgombea mwenza Juma Duni Haji (mgombea mwenza) kupeperusha ya Chadema ikiwa na kauli mbiu “Safari ya Mabadiliko nje ya CCM”.


Post a Comment