Nimepata nafasi ya kuona namna ambavyo wanachama wa DP (Democratic Party) wakimsindikiza mgombea wao wa Urais kwa mwaka 2015 Mchungaji Christopher Mtikila pamoja na mgombea mwenza Juma Mathew Juma kuchukua fomu ya uteuzi kugombea Urais katika ofisi za Tume ya Taifa ya uchaguzi.
Tayari kwenye post iliyopita tulikua na picha za Mgombea Urais Lyimo wa chama cha TLP aliechukua fomu mapema leo ambapo kila mmoja baada ya kuchukua amekua na kauli kwa vyombo vya habari, moja ya kauli za Mchungaji Mtikila ni hii hapa chini.
‘Mimi ndio mwanzilishi wa UKAWA toka mwaka 1986′
Kabla ya makabidhiano kukawa na maelekezo ya uchukuaji wa fomu Bw George Kashura akitoa maelekezo hayo kwa wagombea
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya uchaguzi Kailima Ramadhani Kombwey akijibu maswali ya Mchungaji Mtikila


Post a Comment