Ripota wa millardayo.com amefika Ofisi za Chama cha CUF Buguruni Dar es Salaam ambapo Mwenyekiti wa CUF Prof. Ibrahim Lipumba alipanga kuongea na Waandishi wa Habari August 05 2015.
Kikao hicho kimeahirishwa ambapo Mwenyekiti huyo amesema ameitwa ili akaongee na wazee wa Chama hicho alafu ndio aje kuongea na Waandishi wa Habari.
Hizi ni pichaz nje na ndani kulivyokuwa.


Post a Comment