Msanii wa muziki wa kizazi kipya Stamina akiwaburudisha mashabiki wake ambao ni wakazi wa Morogoro kwenye tamasha lililoandaliwa na Vodacom Tanzania kwa ajili ya kutoa elimu ya huduma ya M-Pawa kupitia kampeni yake ya ‘M-Pawa Tumekufikia’ yenye lengo la kuwaelimisha wateja wake nchi nzima kuhusiana na manufaa ya huduma hiyo inayowawezesha kujiwekea akiba na kujipatia mikopo nafuu kwa urahisi zaidi. Tamasha hilo lilifanyika katika viwanja vya soko la mawenzi mkoani morogoro jana.
Mtoto Salumu Mussa(15) ambaye ni mkazi wa Morogoro akiimba wimbo wa Stamina jukwaani kwa ujasiri kwenye tamasha lililoandaliwa na Vodacom Tanzania kwa ajili ya kutoa elimu ya huduma ya M-Pawa kupitia kampeni yake ya ‘M-Pawa Tumekufikia’ yenye lengo la kuwaelimisha wateja wake nchi nzima kuhusiana na manufaa ya huduma hiyo inayowawezesha kujiwekea akiba na kujipatia mikopo nafuu kwa urahisi zaidi. Tamasha hilo lilifanyika katika viwanja vya soko la mawenzi mkoani morogoro jana.
Baadhi ya wakazi wa Mkoa wa Morogoro wakiwa wamefurika kwenye tamasha lililoandaliwa na Vodacom Tanzania kwa ajili ya kutoa elimu ya huduma ya M-Pawa kupitia kampeni yake ya ‘M-Pawa Tumekufikia’ yenye lengo la kuwaelimisha wateja wake nchi nzima kuhusiana na manufaa ya huduma hiyo inayowawezesha kujiwekea akiba na kujipatia mikopo nafuu kwa urahisi zaidi. Tamasha hilo lilifanyika katika viwanja vya soko la mawenzi mkoani morogoro jana.
Msanii wa Muziki wa kizazi kipya Stamina,amewapagawisha mashabiki wake wa mkoa wa Morogoro waliofika kushuhudia tamasha la”M-Pawa tumekufikia” lililoandaliwa na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania mahususi kwa ajili ya kutoa elimu ya huduma ya m pawa kupitia kampeni ya” M-Pawa tumekufikia” yenye lengo la kuwaelimisha wateja wake nchi nzima kuhusiana na manufaa ya huduma hiyo inayowawezesha kujiwekea akiba na kujipatia mikopo nafuu kwa urahisi zaidi. Tamasha hilo lilifanyika katika viwanja vya soko la mawenzi mkoani morogoro jana.


Post a Comment