Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

PSG bingwa wa Super Cup 2015 (Pichaz & Video)

Trophee-des-Champions-620x350-English
Wiki moja kabla ya kuanza kwa Ligi Kuu mbalimbali barani Ulaya kila Nchi huwa na utaratibu wa kucheza mchezo wa Hisani, Ufaransa na Ujerumani huwa wanaita Super Cup lakini kwa Uingereza wanaita Community Shield ambapo hukutanisha bingwa wa Ligi Kuu na bingwa wa Kombe la FA.
hqdefault
Ufaransa August 1 umepigwa mchezo wa Fainali ya Super Cup kati ya klabu ya Paris Saint Germain (PSG) dhidi ya klabu ya Olympique Lyonnais, mchezo uliopigwa katika dimba la Stade Saputo na klabu ya PSG kuibuka mabingwa wa kombe  hilo baada ya kuifunga Olympique goli 2-0 Serge Aurier dakika ya 11 akipachika goli la kwanza huku goli la pili likiwekwa wavuni na Edson Cavani dakika ya 17.
Nimekusogezea pichaz na video karibu yako

482677124

482677122

482677118

482677086

482677088

482677100

482677104

482677116

482677084

482677080


482677054

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top