
Lipumba anasema UKAWA ilianzishwa kwa lengo la kusimamia rasimu ya katiba mpya kutokana na maoni ya wananchi sasa wenzetu wamegeuza UKAWA kwa kuleta mtu ambaye alishiriki kupitisha katiba pendekezwa ambayo siyo maoni ya wananchi hivyo kiongozi atakayeshinda kupitia UKAWA hawezi kusimania maoni ya wananchi ya rasinu iliyopendekezwa na Warioba.
TAARIFA ZAIDI TUTAWATEA


Post a Comment