Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

VIDEO: DIAMOND AFANYA MAAJABU YA DUNIA, AMEANDAA CHUMBA MAALUM KILICHOJAA KILA KITU KWAAJILI YA MTOTO WAO AJAYE

roomKwenye kuzi count zile siku ambazo Diamond Platnumz alizitamka kuwa tumtegemee kuitwa Baba leo kaamua kushare picha za chumba cha mtoto wao huyo wanaemtegemea yeye pamoja na Mpenzi wake Zari.
zariiiiiiiDiamond kwenye video ambayo amepost kwenye mtandao wa picha wa Instagramameonyesha anachezea viatu vya mtoto huyo huku tukionyeshwa mandhari ya chumba hiko.
Bonyeza play kutazama video hiyo.


Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top