Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

VIDEO; VIDEO MPYA YA Abdul Kiba na Ruby (AYAYA)

abdullllllllllSingo hii ni moja kati ya singo zilizoingia kwenye headlines ya misukosuko kutoka kwaAbdul Kiba kwa sababu wakati akijiandaa kwenda kupiga picha na kushoot video hii,walivamiwa na majambazi nyumbani kwao na kuibiwa vitu vingi ikiwemo fedha ambayo ilikua itumike kwa kazi hii.
Video imekamilika na tayari Abdul Kiba kaiachia kwenye mtandao imetengenezwa naHanscana kamshirikisha mwandada Ruby,hii singo inaitwa Ayaya.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top