Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

BREAKING NEWZZZ.. MSIBA WA MAMA YAKE ASLAY WA YAMOTO BAND WAZUA KIZAA ZAA, HUYU HAPA AJITANGAZA NA KUTOA NAMBA YA SIMU ILI WATU WATUME RAMBIRAMBI

Kuna mtu anatumia akaunti feki ya msanii wa Yamoto Band Enock Bella akiomba kutumiwa rambirambi ya msiba wa mama mzazi wa Aslay Isihaka ambaye amefariki Dunia leo asubuhi, Mtu huyo anatumia namba 0716281999 na amesajili kwa jina la Aslay Isihaka tunawaomba wadau na mashabiki wa Yamoto Band na Aslay wapuuze tariifa siyo za ukweli na hakuna utaratibu wa kutuma rambirambi katika simu

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top