Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

BREAKING NEWZZZZ..KITUO CHA CLOUDS FM CHAPATA PIGO ZITO LA KUMPOTEZA MTANGAZAJI WAO "DJ FETTY" LEO. HII HAPA HABARI KAMILI

September 15 2015 Show ya XXL inaandika Historia nyingine tofauti ambapo DJ Fetty ametangaza kuacha kazi ya Utangazaji na kuingiza nguvu yake zaidi kwenye masuala ya Biashara… wakati Fetty anatangaza hivyo, presenter mwingine pia Kened the Remedy ameungana na Timu ya XXL kwa mara ya kwanza.
:

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top