Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

LOWASSA AFUNIKA KWENYE NGOME YA CCM DODOMA WATU WAMSINDIKIZA HADI GETINI NYUMBANI KWAKE MLIMANI


Lowasa katika viwanja vya BARAFU dodoma leo ameweka Historia katika mkutano huo kwa umati mkubwa wa watu uliojitokeza kumlaki na kumsikiliza.

Baada ya mkutano kumalizika wananchi hawakuridhika wakaamua kumsindikiza hadi nyumbani kwake dodoma na umati mkubwa sana uliwasili nyumbani kwake wakifwatana na msafara wake jambo ambalo halikuwahi kutokea kwa mgombea mwingine katika mji huo ambao ni mji mkuu wa Tanzania










Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top