Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

NEWZZZ.. CHADEMA YAPATA PIGO LINGINE, MWAKA HUU KAZI IPO.....




"Nimeamua kuondoka Chadema na vuguvugu la Ukawa kwa sababu mbalimbali: moja ni ubovu wa kimfumo katika uongozi, uratibu na misimamo. Fujo: Wafuasi wengi Ukawa bado wana muhemko kwenye kufanya mambo. Naamini uongozi wa nchi unahitaji busara kuhimili kazi. Tumefeli hilo. Kwa siku 39 zilizobaki nitaongea na mamilioni ya mashabiki wangu kuhusu msimamo wangu. Naondoka Chadema, nitamuunga mkono Magufuli". Hayo ni baadhi ya maneno aliyoandika Aunt Ezekiel

3 comments

namimi nimeamua kuondoka miongoni mwa mashabiki wako kwa sababu ya kuwa na msimamo hasi(popo) _kijana asiyependa mabadiliko mchawi huyo, hivyo kuanzia leo nitamshabikia Jakline Wolper cos mpenda mabadiliko mwenzangu hapa Liwasa tu

Reply

nimimi nimeamua kuondoka miongoni mwa mashabiki wako kwa sababu ya kuwa na msimamo hasi(popo) _kijana asiyependa mabadiliko mchawi huyo, hivyo kuanzia leo nitamshabikia Jakline Wolper cos mpenda mabadiliko mwenzangu hapa Liwasa tu

Reply

Potelea mbali, ndio maana mi sijawahi kuwa mshabiki wako maana nilishakuona huna msimamo tangu mwanzo

Reply

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top