Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

PICHA ZAIDI:..CCM NA CHADEMA BADO WAPARANGANA RISASI ZARINDIMA NA WENGINE WAPOTEZA MAISHA!


Msafara wangu umevamiwa na wanaccm wakati nikitoka kijiji cha Mangucha kwenda Kegonga watu wetu wameumizwa na mmoja amefariki dunia" Meseji ya Heche kanithibitishia!
Je, una maoni gani kuhusu matukio kama haya haswa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu?! Toa maoni yako hapo chini tafadhali!
CHANZO : JAMII FORUMS :

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top