Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

VIDEO:..BARAZA LA MITIHANI LIMETOA TANGAZO KUHUSU MTIHANI WA DARASA LA SABA UNAOANZA LEO TAR 9/9/2015




Kesho tarehe 9.9.2015  hadi 10.9.2015 wanafunzi wa darasa saba  laki 7,75 elfu na 729 kati yao wavulana ni  laki 3 na 61 na 502 sawa na 46.6% ,wasichana  laki 4 na 14 elfu 227 sawa 53.4% wataanza kufanya mtihani wao wa kuhitimu elimu ya darasa la saba Tanzania.Mtihani huo pia  utahusisha wanafunzi 76 wasioona na  698 wenye uoni hafifu.


ANGALIA VIDEO HAPA CHINI


Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top