Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

BREAKING NEWS:..CCM YAPATA PIGO KUBWA LA KIONGOZI HUYU MAHIRI (LETECIA NYERERE) AFARIKI AKIWA HUKO MAREKANI KWA MATIBABU


Mwaka 2016 unaanza kukiwa na moja ya mambo makubwa yanayosubiriwa ni kushuhudia Bunge jipya la Serikali ya awamu ya tano linaanza majukumu yake… kumekuwa na taarifa kuhusu kuumwa kwa mmoja wa Wabunge wa Viti maalum CHADEMA, Leticia Nyerere pamoja na taarifa ya kulazwa kwake hospitali Marekani.
Ripoti ya leo January 11 2016 inahusu msiba wa Mbunge huyo wa zamani, Mama Leticia Nyerere ambaye amefariki akiwa Marekani kwenye Matibabu… Mbunge huyo alikuwa viti maalum CHADEMA lakini baadae July 27 2015 alitangaza kuhama CHADEMA na kuhamia CCM.
Hizi hapa picha za Rais Magufuli alipoenda kuwapa pole familia ya Mama Maria NyerereMsasani Dar es Salaam kutokana na msiba huo… Mama Leticia Nyerere alikuwa mkwe wa Mama Maria Nyerere.
jpmama1jpmama3jpmama5
#RIP Mama Leticia Nyerere.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top