Kasi ya Rais Magufuli katika kupambana na matumizi holele ya fedha za Serikali imeendelea kushika kasi hata kwa baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani, Hapa nakukutanisha na Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari alipotembelea Hospitali ya Wilaya,na kuamua kufanya haya maamuzi.
Loading...
Post a Comment