Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

HABARI YA HIVI PUNDE:..TAARIFA MUHIMU KUTOKA BARAZA LA MITIHANI TANZANIA, WAZIRI WA ELIMU PROF. NDALICHAKO AFUTA MFUMO WA GPA NA KURUDISHA MFUMO WA UFAULU KWA KIWANGO CHA DIVISHENI (DIVISION)


Waziri wa Elimu, Prof. Ndalichako ameliagiza Baraza la Mitihani la Taifa Kufuta Mfumo wa GPA katika upangaji wa madaraja ya ufaulu na kuurudisha mfumo wa Division uliokuwa unatumika awali.

Amesema kuwa amefikia maamuzi hayo baada ya NECTA kushindwa kuwasilisha sababu za kisayansi za kubadilisha mfumo kutoka Division kwenda GPA.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top