Feb 4 2016 Mbunge wa viti maalum CHADEMA Jimbo la Iramba Magharibi Jesca Kishoa ameingia kwenye headlinebaada ya kusimamishwa kuhudhuria vikao vya bunge vilivyo salia baada ya kukataa kufuta kauli yake ya kumtuhumuWaziri wa Katiba na Sheria Dk. Harrison Mwakyembe. Full stori ipo kwenye hii sauti hapa chini.
Loading...


Post a Comment