MASHABIKI wamevunja geti la kuingia uwanjani na wameanza kupambana na polisi ambao wamelipua mabomu ya machozi na kuwamwagia maji ya kuwasha.Co-ordinator wa mchezo huo ametoa tahadhari kama hali itaendelea hivi basi atasimamisha mchezo huo.
Loading...



Post a Comment