Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

VIDEO: Hussein Bashe vs Mwanasheria mkuu Masaju ishu usajili wa makampuni

Mbunge wa Nzega mjini Hussein Bashe amesimama bungeni kuchangia katika mabadiliko ya kodi kwenye soko la hisa na kusisitiza makampuni kujisajili, umiliki wa watanzania katika makampuni kuwa asilimia 35 tofauti na ile ya 25 inayotakiwa na serikali pamoja na serikali kukubali mapendekezo ya watanzania kumiliki uchumi bila kuathiri soko la hisa.
Mambo mengine aliyozungumza bungeni ni pamoja na umuhimu wa sheria kutoruhusu mtu mmoja kumiliki hisa zote katika kampuni badalayake zimilikiwe na watanzania wengi, kulazimisha sekta binafsi kusajili soko la hisa kwa lazima sio jambo sahihi katika kutoa vipaumbele kwa wazawa.
Unaweza kuendelea kuwasikiliza Mbunge Hussein Bashe na Mwanasheria mkuu wa serikali George Masaju kwenye hii video..



Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top