Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

MAALIM SEIF HATARI AKINUKISHA VISIWANI MAPEMA ASUBUHI HII AMVAA DK SHEIN BILA WOGA KWA SAKATA HILI NYETI.

VUNJAMBAVU: SHEIKH HUYU KIBOKO AWAACHA HOI WAUMINI MSIKITINI

maalim1

Siku moja baada ya Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein kusaini Sheria ya Gesi na Mafuta, Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amesema kitendo hicho kinalenga kuwazuga Watanzania na kuongeza mgongano wa kisheria katika Muungano.

Maalim Seif alisema hayo jana kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika ofisi za CUF, Mtendeni kisiwani Unguja.

Rais Shein amesaini sheria hiyo inayoiruhusu Zanzibar kutafuta na kuchimba mafuta kwenye visiwa hivyo.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top