Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

BREAKING NEWS:.AJALI MBAYA: Basi limegonga na treni, baadhi ya Abiria wamefariki hapo hapo

Imetokea mkoani Tabora barabara ya kwenda Urambo umbali wa kilomita kama kumi hivi kutoka Manispaa, baada ya gari la abiria kugongana na treni la mizigo kwenye Railway crossing, watu waliofariki bado hajafahamika idadi yao kamili waliotambuliwa ni wawili mmoja kwa majina ni Samweli mkazi wa kata ya Ufuruma wilayani Uyui na Mwingine ni Issa, taarifa hizi zimetolewa nusunusu na kituo cha radio VOT hapa Tabora.



Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top