Mastaa wengi wa soka mbali ya maisha yao ndani ya uwanja…lakini wengi wao wamekuwa wakipenda maisha ya starehe ikiwa ni pamoja na kumiliki magari ya kifahari pamoja na kuwa na nyumba nzuri.
Hapa nimekuwekea mastaa 10 na familia zao kwenye maisha yao ya kawaida wakiwa mtaani:-

Van Persie na familia yake

Samuel E’too na familia yake

Didie Drogba na familia yake wakifurahi kwenye boti

Beckham na mkewe Victoria pamoja na watoto wao

James Rodriguez na familia yake

Neymar Dos Santos akiwa na mpenzi wake Bruna Marguezine

Gerard Pique na mpenzi wake Shakira wakiwa na mtoto wao

Lionel Messi na mkewe Antonella pamoja na mtoto wao

Wyne Rooney ,mke wake Coleen na mtoto wao.

Zlatan Ibrahimovic na familia yake
27 July 2015
Post a Comment