TAARIFA ZA AWALI Zinaarifu kuwa wakati mwanadada Wema Sepetu akishindwa kupenya nkatika kinyang'anyiro cha ubunge wa viti maalum huko Singida. Msanii wa muziki wa kizazi kipya amabye ni mlemavu wa ngazi (Albino) Keisha aliyetangaza nia pia ya kugombea ubunge huo wa viti maalum mkoani Dodoma ameshinda nafasi hiyo!www.kandiliyetu.com inampongeza msanii huyu na inamtakia heri huko mbeleni!
Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977



Post a Comment