Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

NEWS:..MATOKEO YA URAIS BURUNDI HAYA HAPA, KWELI WANANCHI HAWANA MCHEZO KWANI JAMAA NAYE AMEKATWAAAAA

NKURUZINZA
Uchaguzi Mkuu wa Rais Burundi umefanyika tayari japo kulikuwa na mvutano mkubwa sana kutokana na ishu ya kuonekana Rais Pierre Nkurunziza kugombea kwa mara ya tatu ilikuwa ni kwenda kinyume na kanuni za nchi hiyo. 

Matokeo yametolewa July 24 2015 na matokeo yameonesha Rais Nkurunziza ameshinda tena Uchaguzi huo kwa kupata 69.4% ya kura na kumshinda mpinzani wake wa karibuAgothon Ruwasa aliyepata 18.9 %.  


Kulikuwa na jumla ya Wagombea nane kwenye nafasi hiyo lakini Wagombea wengine walijitoa kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi huo.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top