Soudy Brown alianza na stori inayohusu jamaa mmoja ambae anadai kwamba Sheikh Shariff amemchukulia mkewe, baada ya madai hayp Soudy Brown kamcheki Sheikh Shariff ili apate majibu ya ishu yenyewe.
Sheikh Shariff amesema ni kweli amemuoa mwanamke huyo kwa kuwa tayari aliachika na taratibu zote zilifanyika kwa hiyo alimuoa akiwa tayari kaachika na hakuwa mke wa mtu.
Kingine ni kwamba Sheikh Shariff amesema tayari ndoa yao inaendelea na ana ndoa, kwa upande wa mwanamke huyo amesema waliachana toka mwezi wa nne 2015 na hana habari nae tena.


Post a Comment