Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

ULE USEMI WA MH: LOWASSA KWA WEMA UMETIMIA KWENYE UBUNGE,NAYE AMEKATWA HUKO SINGIDA MATOKEO HAYA HAPA



Naomba kuchukuwa fursa hii kumpongeza @wemasepetu kwa uthubutu wake wa kutia nia katika harakati za kutaka kuwatumikia wananchi wa Singida lakini kwakuwa katika mashindano kuna kushinda na kushindwa kuwa nafas ya nne sio mbaya katika siasa jipange upya miaka mitano ijayo si mbali panapo uhai naamini huwezi rudi nyuma na usikatishwe tamaa kwa matokeo ya mwaka huu unarudi Dar na kasi ya hatari

1. AYSHAROSE MATTEMBE KURA 311
2. MARTHA MLATA KURA 235
3. DIANA CHILOLO KURA 182
4. WEMA SEPETU KURA 90

Je, una maoni gani mdau?! Shuka hapao chini kwa comment box utoe maoni yako!

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top