Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

BREAKING NEWS!!! MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SINGIDA ATUPA KADI YA CCM NA KUJIUNGA RASMI CHADEMA NA KUTAMBULISHWA


Wakuu habari nilizo zipata muda huu nikwamba, mwenyekiti wa CCM mkoa wa singida amejiuzulu nafasi yake na kujiunga na chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA.

Safari ya matumaini inazidi kuchukuwa kasi


Taarifa za hivi punde zinaeleza kuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida Mgana Msindai a.k.a CRDB ametambulishwa rasmi kwenye mkutano wa Baraza kuu la CHADEMA unaoendelea jijini Dar. Msindai ndiye mwenyekiti wa umoja wa wenyeviti wa CCM Tanzania Bara
VIA JF

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top