Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

Haya hapa matokeo ya kura za Maoni Iramba, Huyu hapa ndio aliyeibuka kidedea

Tanzania bado iko kwenye headlines za uchaguzi ambapo mpaka sasa wapo Wabunge kadhaa mwaka huu inawezekana tusiwaone kwenye Bunge letu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
August 03 Katibu wa Ccm wilaya ya Iramba kayatoa matokeo ya Jimbo hilo ambapo ameanza kwa kutoa idadi ya Wanachama wa Ccm wote 59,393,Kura zilizopigwa 33,825,kura zilizoharibika 367 na kura halali ni 33,452.
mwigulu
Mwigulu Nchemba
Mwigulu Lameck Nchemba amepata kura 28,778,Juma Hasani Kilimba 2375,David Kitundu Jairo 2064 na Amoni Julius Gyunda 241.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top