Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

BREAKING NEWS : MBOWE SASA ATOA TAMKO RASMI KUHUSU KATIBU MKUU DK SLAA

Name:  11838555_386119854913952_2229128010245282346_o.jpg
Views: 19528
Size:  196.4 KB
Tumekubaliana na Katibu Mkuu apumzike kwa muda, kwamba sis tuendelee na atakapokuwa tayari ataungana nasi mbele ya safari.Chama hiki hatukiendeshi kwa siri, tunakiendesha kwa mikakati.Mbowe-Tulilazimika kutumia kila mbinu halali ambayo inakiwezesha chama chetu kusaka matumaini na matarajio ya wananchi.Mbowe-Tuliridhika pasipo shaka kwamba ugeni wa Edward Lowassa katika chama chetu ni mpango wa Mungu.


Mbowe-Umoja wetu ndio ushindi, fursa iliyojitokeza ni nadra.
Mbowe-Mtikisiko huu umekuja kwa CCM kipindi ambacho Watanzania wanamatamanio ya mabadiliko
Mbowe-Hatuwezi kuwa chama cha kuendelea kuhubiri mabaya ya jana tukashindwa kuhubiri maendeleo ya kesho
Mbowe- Kipigo wanachopata CCM, hawajawahi kukipata tangu tuanze siasa za vyama vingi
Mbowe-Kila tunayeweza kumpokea kutoka vyama vilivyo nje ya UKAWA tutamchukua
Mbowe-Mungu ameamua kutumia chama chetu kujeruhi na kuangusha CCM.
Mbowe-CHADEMA ni chama cha siasa, ni chama makini, chama makinI ni chama cha watu, chama kisichokuwa makini ni chama cha viongozi.
Attached Thumbnails Attached ThumbnailsClick image for larger version. 

Name: 11825867_894285133952134_6847320326544335608_n.jpg 
Views: 49117 
Size: 67.0 KB 
ID: 273255   Click image for larger version. 

Name: 11011569_894285180618796_3135540375877767017_n.jpg 
Views: 6937 
Size: 15.5 KB 
ID: 273256   Click image for larger version. 

Name: 11822332_894285227285458_674318579078359611_n.jpg 
Views: 28344 
Size: 71.6 KB 
ID: 273257  Click image for larger version. 

Name: 11822764_386120228247248_7723575338341037588_n.jpg 
Views: 4823 
Size: 64.7 KB 
ID: 273278   Click image for larger version. 

Name: 11825600_386111984914739_2411113025909127720_n.jpg 
Views: 4349 
Size: 72.6 KB 
ID: 273279   Click image for larger version. 

Name: 11825873_386111944914743_8869541588681525067_n.jpg 
Views: 4272 
Size: 82.8 KB 
ID: 273280  Click image for larger version. 

Name: 11828718_386111941581410_1907164532637209043_n.jpg 
Views: 4450 
Size: 79.3 KB 
ID: 273281 
:

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top