Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

MAJINA: HAWA NDIO WAIGIZAJI WANAOLIPWA KIASI KINGI CHA FEDHA DUNIANI

Robert-Downey-Jr.-Highest-Paid-Actor
Wewe ni mpenzi wa movie? Kama wewe ni mpenzi wa movie za Kimarekani kama mimi basi utapenda kujua ni waigizaji gani wananolipwa pesa ndefu zaidi kwenye list ya Actors wa kiume Hollywood.
Nimekutana na orodha iliyotolewa na jarida la Forbes Marekani inayowatajwa waigizaji 10 wa kiume wanaoshika chati kwa kulipwa pesa ndefu zaidi pale wanapocheza movie, wapo akina Jackie Chan, Vin Diesel, Tom Cruise, Adam Sandler na wengine.
robert-downey-jr-600x338
Robert Downey Jr. muigizaji anaelipwa hela ndefu zaidi duniani
Mwigizaji Robert Downey Jr kutoka kwenye movie ya The Avengers: Age of Ultronatajwa na jarida la Forbes Marekani kuwa mwigizaji anaelipwa hela ndefu zaidi duniani kwa miaka mitatu mfululizo, na kwenye movie ya The Avengers: Age of Ultron alioigiza mwaka jana alilipwa dola Mil.80 (Bil. 160 za Tz.)
JC
Jacki Chan nae katajwa kwenye orodha ya wale kumi bora…icheki orodha ya Forbes hapa chini ujue kashika nafasi ya ngapi.
Hapa chini nina orodha ya wale 10 bora kwenye movie wanaolipwa zaidi duniani, orodha ya waigizaji wa kike wanaolipwa zaidi duniani itategemea kutoka hivi karibuni.
Yule umpendaye yupo kwenye hii kumi bora mtu wangu?
  1. Robert Downey Jr: $80 million
  2. Jackie Chan: $50 million
  3. Vin Diesel: $47 million
  4. Bradley Cooper$41.5 million
  5. Adam Sandler: $41 million
  6. Tom Cruise: $40 million
  7. Amitabh Bachchan$33.5 million
  8. Salman Khan: $33.5 million
  9. Akshay Kumar$32.5 million
  10. Mark Wahlberg: $32 million

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top