Lori la Scania T 986 likiwa limeanguka mbele kidogo ya eneo la Msata, barabara ya kuelekea Tanga na Arusha.

Hapa ni makutano ya barabara ya Kiwangwa na Bagamoyo.
MAGARI mawili jana yalipata ajali katika Wilaya ya Bagamoyo, Pwani ikiwa ni gari aina ya Scania T 986 ASG lililoanguka eneo la Msata na gari la aina ya Fuso T 945 BHZ lilioloanguka maeneo ya makutano ya barabara ya Kiwangwa na Bagamoyo baada ya kufeli kukata kona likiwa limebeba kreti za bia.


Post a Comment