Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

BREAKING NEWZZ.. MABOMU YA MACHOZI YALIPUKA HUKO ZANZIBAR, POLISI WA KIKOSI CHA FFU WAJERUHIWA NA HALI ZAO NI MBAYA

 Gari ya FFU Kaskazini Unguja imepinduka na kujeruhi askari 6 hali yao ni mbaya sana baada ya kupakia mabomu ya machozi na silaha ikipeleka kazini kwa mwendo kasi.

Huko Kasikazini Unguja walikuwa wanawalipulia raia wasio na hatia wakaishiwa na mabomu na kulazimika kuagiza kambi nyingine Kilichowakuta ndio hicho




Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top