

Kuna taarifa nimepokea kutoka Lushoto kuwa kuna ajali ya gari imetokea usiku huu ikimuhusisha mgombea Ubunge wa CHADEMA, jimbo la Lushoto, Mohamed Mtoi na kuwa amefariki dunia katika ajali hiyo.
Ooooh, Mohamedi Mtoi Kanagawa, mwanasiasa kijana aliyekuwa anagombea ubunge jimbo la lushoto kupitia chadema amefariki kwa ajali ya gari , pumzika kwa amani rafiki yangu Mohamedi Mtoi Kanagawa, nakulilia rafiki yako, mungu kakupenda zaidi, ndoto zako za kuwawakilisha wanalushoto zimezima ghafla, pumzika kwa amani Comrade Mtoi.
Tutawaletea habari kamili hivi punde......



Post a Comment