Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

MADAM RITA WA (BSS) AUWASHA MOTO NA KUWATOA NISHAI WAZEE WAZIMA WASIASA, AIBUU!!!! HI HAPA HABARI KAMILI

madam-ritaJaji Mkuu wa Shindano la Bongo Star Search 2015 (BSS), Rita Paulsen ‘Madam Rita’
Na Hamida hassan
Jaji Mkuu wa Shindano la Bongo Star Search 2015 (BSS) linaloendelea hivi sasa, Rita Paulsen ‘Madam Rita’ amewapiga chini wanasiasa waliokuwa wakitamani awe nao na kusema kuwa yeye ni mfanyabiashara hivyo hawezi kusapoti chama chochote cha siasa.
madam rita2Akizungumza na Ijumaa Rita alisema kuwa kipindi hiki cha siasa amekuwa akifuatwa na wanasiasa kibao wakitaka kumchota kuingia chama fulani lakini yeye hakuwa tayari kutokana na kazi yake ya biashara ambayo anahisi ndiyo muhimu zaidi.
“Mimi ni mfanyabiashara, kujikita na siasa kiukweli siwezi ila siyo kama sijajiandikisha, nina ‘kichinjio’ changu na Oktoba 25 nitampigia kura yule ninayeona anafaa kuliongoza taifa letu ambaye kwa sasa ni siri yangu,” alisema Madam Rita.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top