Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

NEWZZ..WIZARA YA UHAMIAJI YAMVAA ZITTO KABWE KUCHUNGUZA URAIA WAKE NA MGOMBEA URAIS KUPITIA ACT AWAPA MAKAVU WIZARA HIHO



Akizungumza kwenye moja ya mikutano ya kampeni Kigoma, mgombea urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo ambaye pia ni mwenyekiti wa chama hicho Anna Mghwira amesema, anawashangaa Uhamiaji leo kuanza kuchunguza uraia wa Zitto wakati ameshawahi kuwa mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Habari zaidi soma gazeti la Majira la leo.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top