Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

BAD NEWZZZ..MASIKITIKO MAKUBWA WATU LAKI MOJA WAUAWA KWA KUUMWA NA NYOKA MWENYE SUMU KALI

Shirika la kimataifa la misaada, Medecins Sans Frontieres, limeonya kwamba vifo vitokanavyo na kuumwa na nyoka huenda vikaongezeka.
Hali hii inasababishwa na kuisha kwa akiba za dawa inayotibu sumu ya nyoka.
Inadhaniwa kwamba watu laki moja huuawa na nyoka kila mwaka.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top