Utoroshwaji wa Makontena uliofanyika katika Bandari Kavu kisha kugunduliwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mara ya kwanza alipotembelea Bandarini na baadae RaisMagufuli Kuwataka walewote waliotorosha Makontena hayo walipe kodi .
Kampuni ya Yono Auction Mart ndiyo imepewa dhamana na Mamlaka ya mapato nchini (TRA) Kukusanya kodi hizo kwa wote waliotorosha makontona bandari kavu. Nakukutanisha na Mkurugenzi Mkuu akieleza hatua zilizopangwa kuchukuliwa.


Post a Comment