Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

BREAKING NEWS: HABARI NZITO JIONI HII WAZIRI WA MAMBO YA NDANI MWIGULU NCHEMA AITIKISA JUU YA SAKATA HILI NYETI NCHINI SASA RASMI ATOA TAMKO ZITO...

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba ameagiza watumishi wanaohusika na suala la mishahara ya askari 291 wanaodai hawajalipwa tangu kuajiriwa Agosti mwaka huu wawalipe haraka.
Nchemba amesema hayo leo alipofanya mkutano na maafisa wa uhamiaji makao makuu na kuwataka watumishi wanaohusika na mishahara kufika kesho saa 2:00 asubuhi ofisini kwake kutoa maelezo juu ya suala hilo ili kuondoa mkanganyiko wa taarifa uliopo.
"Kila mahala wanakupa sababu zao, wengine wanasema kuna makosa ya herufi, wengine tarehe za kuzaliwa ila siamini kama uhakiki wa majina hayo unachukua muda wa miezi minne, wapeni askari hao stahiki zao," amesema Nchemba

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top