Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

PICHAZ: Shuhuda KITUKO CHA Rais Obama Alichokifanya Alivyoondoka Nchini Kenya

obama
Rais Obama akiwaaga Wakenya wakati akiondoka.
obama 2
Obama akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta tayari kuondoka.
obama 3
Obama akiagana na Rais Uhuru Kenyatta.
obama 4
Mama Sarah Obama akiwa tayari kumuaga Obama.
RAIS wa Marekani, Barrack Obama leo jioni amekamilisha ziara yake ya siku tatu nchini Kenya ambapo alifungua kongamano la kibiashara, akawahutubia Wakenya katika Uwanja wa Kasarani na baadaye kuzungumza na viongozi wa mashirika ya kijamii katika Chuo Kikuu cha Kenyatta. 

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top