Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

Videoz:..INASIKITISHA,HAYA NDIO MANENO YA MWISHO YA mh: EDWARD LOWASSA!!

photo-collage (1)
Bado watu wanasubiri kusikia Jina la Mgombea Urais ambaye atatajwa na CCM, Kikao kimeendelea na bado jina halijatajwa.
Nimefanikiwa kupata video za hawa wanne mbele ya camera na vinasa sauti vya waandishi wa Habari, Edward Lowassa na William Ngeleja… pia yupo Bernard Membena January Makamba.
Haya wameyasema leo baada ya majina matano yaliyopitishwa na Kamati Kuu ya CCM kuwa yameshatajwa.




Niko Dodoma mtu wangu, kila kinachoendelea hapa ninakusogezea wakati huohuo.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top