Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

MBEYA KIMENUA: MAJAMBAZI 4 YAUAWA VIBAYA NA POLISI MBEYA YAKIJARIBU KUPORA DUKANI

Toka mbeya 
Leo hii majira ya saa 11:30hrs  majambazi 4 wote raia wa Zambia,  wakiwa na silaha SMG na STERLING GUN walivamia mfanyabiashara mmoja dukani kwake Tunduma Wilaya ya Momba ambako, waendesha bodaboda wakiripoti tukio hilo u jambazi, bila kuchelewa wananchi kwa kushirikiana na Polisi walikwenda kupambana na majambazi hao (Live) na mapambano hayo yalidumu kwa zaidi masaa mawili na mwisho wa mapambano majambazi walizidiwa nguvu na waliokamatwa na bundiki zao mbaroni.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top